John W. Stanton
Mandhari
John W. Stanton (alizaliwa 1955) ni mfanyabiashara nchini Marekani. Yeye ni mmiliki mkuu wa timu ya Seattle Mariners ya Major League Baseball(MLB) na ameongoza makampuni kadhaa ya mawasiliano yasiyotumia waya (wireless). Alihudumu kama mwenyekiti na afisa mkuu mtendaji wa VoiceStream Wireless, ambayo baadaye ikajulikana kama T-Mobile USA.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Founders & Senior Management Team". Trilogy International. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-01-26. Iliwekwa mnamo Aprili 27, 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Insider Filings - STANTON JOHN W". Yahoo Finance. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-05-10. Iliwekwa mnamo Septemba 22, 2014.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John W. Stanton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |